Bonanza la "Perfect Six" kuanza May 24

Mashabiki wa FC Barcelona Tanzania wanaocheza soka wametakiwa kutengeneza timu za watu sita sita ili kuanza kuchuana kutafuta timu mshindi ambayo itakwenda Hispania mwezi Septemba ikiambatana na mashabiki wawili wasiocheza soka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS