Serikali imewataka wafugaji kuongeza mahudhurio

Ng'ombe anayelishwa na kutunzwa vizuri hutoa kiasi kikubwa cha maziwa na nyama.

Serikali ya Tanzania imewataka jamii ya wafungaji kuongeza kiwango cha kukusanya maziwa yatakayoweza kusindikwa viwandani ili serikali kutimiza adhima ya kugawa maziwa kwa wanafunzi wa shule za msingi hali itakayosaidia kuongeza mahudhurio mashuleni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS