WADAU WAIPONGEZA SERIKALI MAANDALIZI MADOLA

Wadau wamesema mpango wa kupeleka wanamchezo nje ya nchi ni wakupongezwa,lakini wataka mpango huo uwe wa kudumu na endelevu kwa michezo yote, pindi kukiwa na michuano mikubwa ya kimataifa mbele yao

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS