Sauti Sol sasa kimataifa zaidi Sauti Sol Bendi maarufu ya muziki nchini Kenya Sauti Sol ambao wanafanya muziki wao kimataifa zaidi hivi sasa wanajiandaa kufanya ngoma mpya wakilishirikisha kundi nyota la muziki la nchini Afrika Kusini la Mi Casa. Read more about Sauti Sol sasa kimataifa zaidi