Hali ya upatikanaji wa maji Dar es Salaam
Agizo la waziri mkuu la kufufua visima vilivyopo jiji Dar-Es-Salaam Bado linaendelea kutekelezwaa na Wakala wauchimbaji visima na ujenzi wa mabwawa-DDCA Kwa kushirikiana na mamlaka ya maji na Usafi wa mazingira-DAWASA ambapo Hadi sasa tayari visima zaidi ya 50 vimesafishwa.