Bodi ya mikopo haikuleta kiburi kwa Profesa Mkenda
Kamati ya Bunge imesema kwamba haijapata ushahidi wowote unaoonesha kwamba Bodi ya Mikopo nchini (HESLB), ilileta kiburi na kukwamisha utendaji wa Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda, kwenye kamati yake aliyoiunda kuchunguza utolewaji wa mikopo kwa bodi hiyo.