Watendaji nchini watakiwa kubadilisha fikra
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Sekta ya Mifugo) Bw. Tixon Nzunda amewataka watendaji serikalini kufanya mabadiliko makubwa ya kifikra, kiutendaji na mifumo ya kiuendeshaji ili kukuza sekta za uzalishaji mali nchini.