Marioo apewa ubalozi wa Parimatch
Ujio huo wa Marioo kwenye kampuni namba moja ya kubashiri Tanzania Parimatch umekuja na ofa za kijanja na tovuti yenye muonekano mzuri na kasi kubwa huku ikiwa na uwezo mdogo wa intaneti na kwa wateja wao wataweza kushea mikeka yao kwa marafiki ili nao waweze kupata burudani