Waziri Aweso awataka DAWASA kufuata ratiba ya mgao
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewasisitiza Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira DAWASA kufuata ratiba ya mgao wa maji katika jiji la Dar es Salaam, ili kuwapunguzia usumbufu wananchi katika kipindi hiki cha uhaba wa maji