"Marufuku kuingiza mifugo kwenye hifadhi" - Wizara

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja

Serikali imekemea vitendo vya baadhi ya wananchi wanaochunga mifugo na kufanya shughuli za kilimo kwenye maeneo ya hifadhi za misitu ikieleza kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha sheria ya misitu inayokataza kuingiza au kuchunga mifugo kwenye maeneo ya yaliyohifadhiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS