TAKUKURU yabaini mchezo mchafu usajili wa laini

Mkuu wa TAKUKURU mkoani Kagera John Joseph

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kagera inawashikilia mawakala watano wa kampuni za simu za mkononi ambao majina yao yamehifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi, kwa tuhuma za kuwasajilia watu namba za laini za simu kwa kutumia majina na vitambulisho vya watu wengine

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS