Barkhad Abdi 'kutimuliwa' Marekani? Barkhad Abdi Mwigizaji mzaliwa wa Somalia anayeshikilia rekodi ya kuwania tuzo za Oscar Barkhad Abdi, ameripotiwa kuwa katika hatari ya kufukuzwa huko nchini Marekani kutokana na rekodi mbalimbali za uhalifu. Read more about Barkhad Abdi 'kutimuliwa' Marekani?