Mabondia chipukizi taifa, wampa jeuri kocha

Kocha msaidizi wa timu ya taifa ya ngumi za ridhaa ya Tanzania Hassan Mzonge amesema kuwa amefurahishwa ni vipaji vya mabondia chipukizi walioongezwa katika timu ya taifa inayojiandaa na michuano ya jumuiya ya madola itakayofanyika jijini Grascow

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS