Kocha wa Club Africain amhofia Mayele
Klabu ya Yanga inataraji kushuka dimbani Jumatano ya Kesho Novemba 2, 2022 kucheza dhidi ya timu ya Club Africain ya Tunisia saa 10:00 Jioni kwenye dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam ikiwa ni mchezo wa mchujo wa mwisho kuwania kufuzu hatua ya Makundi ya kombe la Shirikisho barani