Majangili wanne wakamatwa wakiwa na meno ya tembo
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linawashikilia watuhumiwa wanne wa ujangili ambapo pia wamekutwa na vitu mbalimbali ikiwemo vipande viwili vya meno ya tembo vyenye uzito wa kilo 33 pamoja na Nyamapori ya mnyama Pofu