Mchakato wa bima ya afya kwa wote
Serikali imeshauriwa kueleza mikakati itakayotumiwa kuhakikisha kila mtanzania anakuwa na bima ya afya bila kuhusisha matumizi ya nguvu ikipendekezwa kanuni zieleze wazi na zifanyiwe mapendekezo na kamati ya kudumu ya bunge ya sheria ndogo ili kuondoa malalamiko ambayo yamekuwa yakitokea