Askari wa kike watakiwa kukomesha ukatili
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita Safia Jongo, amewataka maaskari wa kike mkoani humo kuhakikisha wanasimamia Dawati la Jinsia na watoto ili waweze kutokomeza vitendo vya ukatili vinavyoendelea mkoani humo.