Tani 1.96 za bangi zakamatwa
Jeshi la Polisi nchini kupitia kitengo cha kuzuia na kupambana na dawa za kulevya (Ant drug Unit), limekamata jumla ya watuhumiwa 1212 wa madawa ya kulevya pamoja na kukamata tani 1.96 za bangi, tani 1.08 za mirungi, pamoja na heroini gramu 448.74.