"Mashabiki wa kike wamenibeba" - Barakah

Picha ya msanii Barakah The Prince

Msanii Barakah The Prince amesema anawashukuru wasanii wa kike kumbeba kwenye mziki wake kuanzia shows, waki-request na wengine wakizitumia kwa wanaume zao wanaowapenda. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS