Polisi yapiga marufuku silaha kwa Mkapa kesho
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema halitaruhusu mtu yeyote kwenda na silaha ya aina yoyote kesho uwanjani kwenye mechi ya Simba na Yanga isipokuwa vyombo vya dola vyenye jukumu la kulinda usalama eneo hilo.