CHADEMA watangaza maandalizi mikutano ya hadhara
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA amewataka viongozi wa chama hicho kuendelea na mandalizi ya mikutano ya hadhara nchi nzima huku akisema chama hicho kitatangaza tarehe rasmi ya kuanza mikutano ya hadhara