Fimbo 500 za wasioona zakabidhiwa Manyara

Naibu waziri wa Ajira Vijana Kazi na Watu Wenye Ulemavu Patrobas Katambi

Takribani fimbo nyeupe Miatano zimekadhiwa kwa viongozi wa watu wasiyoona ikiwa ni jitihada za kuunga mkono serikali kutatua changamoto zinazowakabili walemavu wasioona haswa wale ambao hawana uwezo wakununua fimbo hizo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS