Nape awataka wasichana kutumia TEHAMA 

Waziri wa Habari Nape Nnauye

Waziri wa Habari Nape Nnauye, amewataka wasichana nchini kutumia uwepo wa TEHAMA katika kutatua changamoto zilizopo kwenye sekta mbalimbali zinazohusu jamii nchini ikiwemo sekta ya kilimo ambayo ina watu zaidi ya asilimia 80 ya Watanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS