Mapendekezo sio amri kwa serikali-Rais Samia
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema serikali itapanga vikosi kadhaavya watunga sheria kuangalia siasa na katiba na huenda wengine wakatoka katika kikosi kazi alichokiunda kuratibu maoni ya wadau kuhusu demokrasia ya vyama vingi nchini.