Dc Kapange awaonya watakaosimamia madarasa

Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu, Lupakisyo Kapange, amewaonya watendaji na makampuni ya ukandarasi watakaosimamia ujenzi wa vyumba 60 vipya vya madarasa kwa wanafunzi watakaoingia Kidato cha Kwanza mwakani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS