Serikali kutupia jicho sheria za mikutano ya siasa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema masuala ya mikutano ya siasa nchini yanahitaji muda wa kutupia jicho sheria mbalimbali zinazosimia suala hilo ili kuepusha madhara yanayoweza kutokea Read more about Serikali kutupia jicho sheria za mikutano ya siasa