DC Nzega ang'aka ubadhirifu wa fedha za miradi

Mkuu wa wilaya ya Nzega, Kamishina Msaidizi wa Polisi Advera Bulimba

Mkuu wa wilaya ya Nzega, mkoani Tabora Kamishina Msaidizi wa Polisi Advera Bulimba, amesema hayuko tayari kuona unafanyika ubadhirifu wa fedha katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS