Nina Nyimbo 200 na wasanii wachanga-Mr Blue

Pichani ni Mr Blue

Rapper Mr Blue amefunguka kuwa yeye ni moja ya wasanii wachache bongo ambao inawezekana akawa na ngoma nyingi zaidi na wasani wachanga zaidii, Blue amesema hayo siku za hivi karibuni alipokuwa akifanya mahojiano na waandishi wa habari

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS