Dabi ya Mashemeji yaahirishwa Kenya

Shirikisho la soka nchini Kenya (FKF) siku ya Ijumaa limetangaza kuahirisha mechi ya Ligi Kuu nchini humo "Mashemeji Derby" baina ya Gor Mahia na AFC Leopards ambayo iliratibiwa kuchezwa Jumapili, Mei 11, 2025.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS