Abigail Chams Apeperusha TANZANIA Tuzo za BET
Msanii abigail chams ameweka historia mpya kwa kutajwa katika kipengele cha Best New International Act kwenye Tuzo za BET 2025, Kwa mara nyingine tena, Tanzania inang'aa kimataifa kupitia sauti yake ya kipekee