Inacheza bodi ya ligi au Yanga? bodi iundwe upya

Joseph Kasheku (Msukuma) - Mbunge wa Geita vijijini

Mbunge wa jimbo la Geita Vijijini maarufu kama Msukuma amelivalia njuga sakata la dabi ya Kariakoo leo bungeni Jijini Dodoma akitaka shirikisho la Soka hapa Nchini Kuunda bodi ya Ligi nyingine iliyo huru ili kutenda haki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS