Msajili asitisha ruzuku ya CHADEMA
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi, kwa mamlaka aliyonayo ameamua kusitisha kuwapa ruzuku CHADEMA hadi watakapotekeleza maelekezo ya Msajili wa Vyama vya Siasa, kwa sababu chama hicho hakina viongozi wanaoweza kusimamia mapato, matumizi na marejesho ya fedha hizo.