Zengwe
Imani za kishikirikina zatawala uchaguzi mkuu wa klabu ya Simba.
Ripoti
Mzizima Rally zatawaliwa kiukoo. Kaka Guljit Dhani na mdogo mtu Rajpal Dhani watwaa nafasi za kwanza na tatu mtawalia huku Mwana Dharam Pandya na baba Kirit Pandya wakitwaa nafasi za pili na nne mtawalia.
Ripoti
John Bocco, mshambuliaji aliyestaafu kuchezea Taifa Stars kutokana na kuzomewa na mashabiki wa Yanga, adhihirisha kile ambacho Tanzania ingekikosa kwa kutokuwepo kwake baada ya kufunga bao pekee dhidi ya Zimbabwe.