KITENGO - PABLO
Kwa sasa ana kamera mypa matata ili aweze kushoot video za kisasa zaidi. Mpaka sasa Pablo ana video hit's kama - Nani kama mama - ya Christian Bella ft. Ommy Dimpoz.
MGODI - TRIGGER MCEE
Ana Rap kwa kiingereza kwa sababu yeye anataka kuwa intenational zaidi na anaona kiingereza kitafanya muziki wake ufike mbali zaidi. Ndani ya mgodi yuko mtoto wa Ilala Trigger Mcee.
KICHUPA - WABIBI
Kijana mpya anayekuja kwa kasi kwenye game ya Bongo Flava, sasa cheki video mpya ya nyimbo - Sholo - Wabibi ndani ya Kichupa.