SHOW MAALUMU-MAZISHI YA ABDU BONGE
Mchango mkubwa alio toa Marehemu Abdu Bonge kwenye kundi la Tip Top Connection tazama hapa jinsi alivyoweza kuunganisha kundi hili.
SHOW MAALUMU-MAZISHI YA ABDU BONGE
Z-Anto ni kati ya wasanii waliosaidiwa sana na marehemu Abdu Bonge katika Muziki wa Bongo Flava na hadi kumfanya kuwa mtu maarufu sana.
SHOW MAALUMU-MAZISHI YA ABDU BONGE
Maneke huyu ni Mtayarishaji wa Muziki wa Bongo Flava,ni kati ya Watayarishaji wakubwa waliosaidia kundi la Tip Top Connection kufanya vizuri nchini,Marehemu Abdu Bonge Ametoa Mchango Mkubwa sana kwa Producer Maneke kubadilisha Muziki wake.