Mtaa kwa mtaa
Huyu ni mmoja kati ya wamama wanaopatikana uswahilini kwetu na kuongelea athari za vilabu vya pombe kuwa katikati ya makazi ya watu.
Salaam
Uwepo wa vilabu vya pombe katika makazi ya watu kuna athari? Hapa mswazi analijibu swali hilo.
Mtaa kwa mtaa
Nyumba za kulala wageni 'Gesti' huku kwetu Uswazi kuvaa 'papa na nguru' ni jambo la kawaida.