Jaji Mkuu, Othman Chande
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Jaji Mkuu, Mstaafu Augustino Ramadhani na Jaji Mkuu wa Tanzania Othman Chande (kushoto)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa ziarani wilayani Ngorongoro alipokwenda kufanya mkutano na watu wa jamii za wamasai na wasonjo Septemba, 2013