QUICK PROFILES

EDWIN ROBERT
+

Nimezalia 1993 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM.

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 4 Nina KAKA 1 na DADA

Ninaishi na BABA na MAMA

Mtaani kwangu najulikana kwa MAGUNO

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA ( 7 )

Shuguli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: MVUVI

 

 

DENNIS WILLIAM
+

Nimezaliwa 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM,

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 3 Nina KAKA

Ninaishi na MAMA na BABA

Mtaani kwangu najulikana kwa JINA LA CHINJI KAGALU

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA (7)

Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya kudansi) ni: BODA BODA

 

HASSAN SALEHE
+

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DARE ES SALAAM.

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 5 Nina KAKA na DADA

Ninaishi na MAMA na BABA

Mtaani kwangu najulikana kwa JINA LA TOFFY

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA NNE (4).

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: MWALIMU WA DANCE.

 

RAJAB ADAM
+

Nimezaliwa 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM.

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 5 Nina KAKA 1 na DADA 1.

Ninaishi na DADA na KAKA

Mtaani kwangu najulikana kwa jina la MKALI ROJA

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA ( 7 )

Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya kucheza dansi ) ni : BIASHARA

 

 

HANS PASTORY
+

Nimezaliwa 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 3, Nina kaka 1 na dada 1

Ninaishi na BABA na MAMA

Mtaani kwangu najulikana KWA JINA LA HANS POP

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA (7)

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: MFANYABIASHARA

 

HUSSEIN SALEHE
+

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya TEMEKE mkoa wa DAR ES SALAAM,

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 5 Nina kaka 1 na dada 1,

Ninaishi na BABA na MAMA

Mtaani kwangu najulikana kwa NAX NAX 

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA (7)

Shughuri zangu za kila siku 9Zaidi ya kudansi) ni:- FUNDI SEREMALA

 

EDY BRILLIANT
+

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam,

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3. Ninaishi na Baba na Mama,

Mtaani kwangu najulikana kwa jina la Kipara

Nimesoma mpaka Elimu ya chuo "Diploma"

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni Biashara

Group Videos

BEST BOYS CREW- FAINALI
BEST BOYS CREW- FAINALI
Play Video
BEST BOYS CREW- FAINALI

Vijana kutoka Kigamboni wakiwakilisha vyemba ndani ya Fainali ya Dance 100% (2014).

BEST BOYS CREW- TANO BORA
BEST BOYS CREW- TANO BORA
Play Video
BEST BOYS CREW- TANO BORA

Hii hapa safari ya Best Boys Crew ndani ya Dance 100% (2014)

BEST BOYS CREW- NUSU FAINALI
BEST BOYS CREW- NUSU FAINALI
Play Video
BEST BOYS CREW- NUSU FAINALI

Round ya Kwanza walicheza hivi.

ROBO FAINALI - Best Boys Crew
ROBO FAINALI - Best Boys Crew
Play Video
ROBO FAINALI - Best Boys Crew

Hii ndio dance iliyowapa tiketi ya kuingia Nusu Fainali