QUICK PROFILES

SALUM ENDRICK
+

Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM 

Mimi nimtoto wa 4 katika familia ya watoto 4 Nina kaka NDIO na dada NDIO

Ninaishi MAMA na DADA

Mtaani kwangu najulikana kwa DANCE

Mimi nimesoma mpaka FORM 2

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: KUFUMA SOFA

 

YONA HAULE
+

Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM 

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3

Ninaishi MWENGE na BIBI 

Mtaani kwangu najulikana kwa UCHESHI NA KARIBU NA WATU

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA NNE

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: DJ

 

YUSUPH SELEMAN YUSUPH
+

Nimezaliwa 1996 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM 

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3

Ninaishi MWENGE T.R.A na MJOMBA 

Mtaani kwangu najulikana kwa UCHESHI NA KUWA NA MAWASILIANO NA KILA MTU

Mimi nimesoma mpka KIDATO CHA TATU 

shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: KUIMBA NA SHUGHULI ZA NYUMBANI

NASRI YUSUPH
+

Nimezaliwa mwaka 1995 wilaya KININDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia

Ninaishi MABIBO

Mtaani kwangu najulikana kwa MJUMBE

Mimi nimesoma mapaka FORM 3

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: NASOMA

 

ISACK MHAGAMA
+

Nimezaliwa 1991 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 2 Nina kaka NO na dad YES

Ninaishi KEKO MAGAMBASI

Mtaani kwangu najulikana kwa KWA MJUMBE

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA NNE

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: BIASHARA

AMOS DANIEL
+

Nimezaliwa mwaka 1995 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto5 Nina kaka 3 na dada 1 

Ninaishi MAMA na BABA

Mtaani kwangu najulikana kwa UCHEZAJI (DANCER)

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: KUSOMA

JACKSON MOHAMED
+

Nimezaliwa mwaka 1996 wilaya ya TEMEKE Mkoa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3 nina kaka SINA na dada NDIO

Ninaishi MAMA na DADA

Mtaani kwangu najulikana kwa DANSI

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi yakucheza dansi) ni: SINA ZAIDI YA DANSI

WAKATI IDRISA
+

Nimezaliwa mwaka 1993 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika familiya watoto 3 Nina kaka SINA na dada NDIO

Ninaishi MAMA na DADA

Mtaani kwangu najulikana kwa DANSA

Mimi nimesoma mpaka FORM TWO

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: SINA ZAIDI YA DANSI

 

Group Videos

NUSU FAINALI - G.O.P
 NUSU FAINALI - G.O.P
Play Video
NUSU FAINALI - G.O.P

haikua wakazi ndigo kuitafuta tiketi ya Fainali. Lakini safari ya G.O.P iliishia hapa.

ROBO FAINALI - G.O.P
ROBO FAINALI - G.O.P
Play Video
ROBO FAINALI - G.O.P

Vijana wakifanya yao Robo fainali.