QUICK PROFILES

GEOFREY JOHN
+

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa MWISHO katika familia ya watoto 5 Nina kaka 4 na dada 1

Ninaishi MIMI PAMOJA na FAMILIA YANGU 

Mimi nimesoma mapaka KIDATO CHA NNE

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: KUMSAIDIA MAMA YANGU KAZI ZA NYUMBANI

 

ABUBAKAR KHAMIS MKOPA
+

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 5 katika famili ya watoto 6 Nina kaka YES na dada YES

Ninaishi  MIMI NA FAMILIA YANGU

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA NNE

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: DANCE

 

OMARY CHILLA
+

Nimezaliwa maka 1992 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM 

mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 2 Nina kaka 2 na dada 1

Ninaishi MIMI na FAMILIA

Mtaani kwangu najulikana kwa CHILLA

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: NACHEZESHA PLAYSTATION 2

 

 

CHARLES EDWARD HIZZA
+

Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya TEMEKE  Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 2 Nina kaka 1 na dada -
Ninaishi MIMI na MAMA

Mtaani kwangu najulikan akwa UKALIMU NA UCHESHI

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni KULA

 

THOMAS JUSTIN
+

Nimezaliwa Mwaka 1992 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 2 

Ninaishi MAMA na BABA

Mtaani kwangu najulikana kwa KUDANSI 

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA (7)

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) KINYOZI

 

LALLY COSMAS
+

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto 5 Nina kaka 1 na dada 3

Ninaishi  BABA na MAMA

Mtaani kwangu najulikana kwa KUDANSI

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA NNE

shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: KUCHOTA MAJI NA KUFANYA USAFI KWANGU TUU

 

BASHILI MALIKI BAKALI
+

Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 4 katika famili ya watoto 4 Nina kaka 2 na dada 1

Ninaishi MBAGALA KUU na NDUGU ZANGU

Mtaani kwangu najulikana kwa UCHESHI NA UKALIMU

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA (7)

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: SINA ZAIDI YA KUDANSI

 

Group Videos

THE W.T- TANO BORA
THE W.T- TANO BORA
Play Video
THE W.T- TANO BORA

Hii hapa ni safari ya the W.T ndani ya Dance 100% (2014)

THE W.T- - NUSU FAINALI
THE W.T- - NUSU FAINALI
Play Video
THE W.T- - NUSU FAINALI

Siku ya nusu Fainali majaji walikua na kazi nzito sana.

ROBO FAINALI - The W-T
ROBO FAINALI - The W-T
Play Video
ROBO FAINALI - The W-T

a.k.a Watoto wa Tanzania walitafuta nafasi ya kuingia Nusu fainali.