Ndugu wa mtoto huyo wamesema wakati tukio hilo likitokea marehemu na wenzake walikuwa wakichota maji na kucheza kwenye mvua ndipo mtoto huyo mmoja alipo pigwa radi
Mganga mfawidhi wa kituo cha afya cha Karume Dk Thomas Shija akithibitisha kutokea kwa kifo hicho amesema walimpokea mtoto huyo siku ya jumamosi majira ya saa tano akiwa amefariki





