Muonekano wa daraja lililojengwa na Kosmas Kungule
Kivuko hicho hadi sasa kimegharimu kiasi cha shilingi laki sita, na kusema kwamba hatua hiyo ameichukua ili kuwaondolea wanafunzi adha ya kushindwa kwenda shule wakati wa mvua
Mwananchi wa Kijiji cha Itiso wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Kosmas Daudi Kungule, ametengeneza kivuko cha miguu kijijini hapo (Daraja) kuunganisha shule ya msingi Itiso ambayo mvua ikinyesha wanafunzi hushindwa kufika hapo shuleni kutokana na maji kujaa katika eneo hilo.