Picha ya shabiki huyo na msanii Ruger wakiwa na koti hilo
Zaidi mtazame hapa chini kwenye video shabiki huyo akielezea alivyopata koti hilo na thamani yake.
Shabiki aliyeokota koti la msanii Ruger kwenye show ya Unmasked Edition Ware House Masaki Willy Platnumz amesema hatalifua koti hilo kwa sababu atapoteza harufu na jasho la msanii huyo.