
Isabela Mpanda na Jacline Wolper
Akizungumza na mwandishi wetu, Bella Fasta amesema wasanii hao wanapenda ku 'fake' maisha, na ndipo wanapoangukia kwenye mambo ya kutia aibu, licha ya matukio mbalimbali waliyoipitia kwenye mahusiano yao siku za nyuma.
Msikilize hapa akitema povu la hatari.