
Picha ya Diamond Platnumz
Diamond Platnumz ameweka rekodi ya nyimbo zake zote kuwa trending music kuanzia nafasi ya namba 1 na namba 2, kisha kuendelea tena kuanzia namba 4 mpaka 11.
EP ya FOA imetoka rasmi siku ya Machi 6 ikiwa na ngoma 10, na ametumia siku 12 tu kuweka rekodi hiyo kwenye mtandao wa Youtube.