Kushoto pichani Mr Blue, kati Dully Sykes, kulia ni Joslin
Sasa Dully Sykes ametueleza historia ya wimbo huo kwa kusema alikuwa hana mpango wa kumshirikisha Joslin, pia aliingia studio na wanawake wawili kisha kuipa mgongo mike wakati anarekodi.
"Ngoma ilikuwa ni kumshirikisha Mr Blue peke yake lakini siku ambayo mimi narekodi Joslin alikuwepo studio , kipindi hicho hakukuwa na mahusiano mazuri kati Mr Blue na Joslin nikaona hii idea inaweza ikaleta nguvu kwenye ngoma yangu, hata wakati wakuingiza verse kila mtu aliingiza kivyake bila ya wao kuwaambia na kwenye ushindani walikuwa wanashindanishwa wao tu".
Stori zaidi tazama hapa kwenye video hapa chini