
Hemedy amesema kwamba mtindo wa maisha yake miaka ya nyuma wakati ndo anaanza kupata umaarufu yalikuwa ni mabaya kitabia hususani kwenye mahusiano kwani alikuwa anatembea na wasichana hadi watano kwa siku.
“Sio kitu cha kujivunia kwa sasa hivi ila ni maisha ambayo nimeyapitia na nisingependa vijana wengi ambao wanaonisikiliza sasa hivi wafanye hivyo, Lakini mzee. Ilikuwa ni panga pangua, Sometimes kabisa najenga kambi Hoteli mzee mimi nafumua tuu” amesema Hemedy PhD .
Mbali na hayo Hemedy PhD amekiri kuwa mpaka sasa hakumbuki ni idadi ya wanawake wangapi alitembea nao ila anachokumbuka ni kuwa ametembea mademu wengi kipindi cha nyuma alivyoanza kupata umaarufu.