Jumanne , 20th Jul , 2021

Mwimbaji wa Nigeria maarufu kama African Bad Girl, Tiwa Savage ametangaza kufiwa na Baba yake ambacho kimetokea Julai 19, 2021.

Picha ya Msanii Tiwa Savage na Baba yake

Malkia  huyo wa Afrobeat ametoa taarifa hiyo ya kifo kupitia ukurasa wake wa instagram huku kwa huzuni kubwa akieleza namna ambavyo kwa hivi sasa anapitia wakati mgumu kwa kumkosa mtu wake muhimu maishani.

"Early hours of this morning you made a peaceful transition. You fought till the very end, you really fought daddy, it’s been rough for you these past couple years but you are resting now. This is tough on me, I’m so numb, so weak.
Rest In Perfect Peace my King, I love you daddy. Savy t’eko, pappin K
"