
Picha ya Shilole na Uchebe enzi walipokuwa kama mke na mume
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Uchebe amepost picha akiwa na Shilole enzi za mahusiano yao kisha akaandika
"Happy birthday kwako Zuwena, nakutakia maisha mema na mafanikio zaidi kwenye kila harakati zako, enjoy your day mwenyezi mungu akutunze".
Haikuishia hapo kwani Shilole alifanya 'party' ya kufurahia kuongeza mwaka mwingine kwenye maisha yake ambapo kulitokea 'surprise' kibao ikiwemo kujiwazawadia gari jipya, kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa zamani Rommy na kuzimia.
Zaidi tazama hapa chini kwenye video.