Fahamu tarehe ya Simba kukabidhiwa ubingwa

Jumatano , 1st Jul , 2020

Bodi ya Ligi nchini Tanzania TPBL imetangaza tarehe rasmi ambayo klabu ya Simba itakabidhiwa ubingwa wake wa ligi baada ya kutangazwa kuwa mabingwa wa msimu 2019/20.

Wachezaji wa Simba SC

Katika taarifa rasmi iliyotolewa leo, TPBL imesema kuwa Simba inatarajiwa kukabidhiwa ubingwa katika mchezo dhidi ya Namungo FC utakaopigwa katika uwanja wa Majaliwa mkoani Lindi, Julai 8.

Taarifa rasmi hii hapa chini.